HOME USAJILI DARASA VII-2012=NECTA MATOKEO YA MTIHANI WAKUMALIZA ELIMU YA MSINGI TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI 2010/2011 MATOKEO YA MITIHANI MUHULA WA PILI-2011 KUMBUKUMBU ZA UONGOZI SAFU YA UONGOZI MASWALI YA JIOGRAFIA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI KALENDA YA SHULE RATIBA YA SHULE IDADI YA WANAFUNZI MALI ZA SHULE PICHA ZA SHULE WANAFUNZI WASIO NA SARE MAWASILIANO PICHA ZA SHULE MTIHANI WA ENGISH-STD III MTIHANI FORM TWO NYARAKA ZA ELIMU Photo Blog MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK - KATA YA ILOLANGULU.MARCH-2013



KALOLENI SHULE YA SEKIONDARI NA UFUNDIMTIHANI WA KISWAHILI – LIKIZO FUPI KIDACHO CHA 1  MWEZI MARCH JINA……………………………………………… MAELEKEZO         1        JIBU MASWALI YOTE2        FUATA MAELEKEZO YA KILA SWALI NA KILA SEHEMU3        MAJIBU YOTE YAANDIKWE KWA KALAMU YA WINO WA BLUU AU MWEUSI4        KUFUATA MAELEZO NI SEHEMU YA MTIHANI SEHEMU A : UFAHAMU 1.Soma habari ifuatayo kwa makini ,kasha jibu maswali yanayofuata kwa kuchagua jibu sahihiKiswahili ni lugha ya Taifa hapa Tanzania na kule Kenya .Lugha hii imepata umaarufu duniani na inazungukwa na watu zaidi  ya millioni mia moja.Kiswahili kimeenea.Afrika Mashariki,Afrika ya kati na hata kusini mwa Afrika.usione ajabu mtu wa Ulaya ,Asia na Amerika akiongeaa Kiswahili kwani hivi sasa Kiswahili kinafundishwa  katika vyuo vikuu mbalimbali duniani .Pia katika dhaa ya redio za nchi nyingi kuna vipindi vya Kiswahili.Hivi sasa kuna mpangoo wa kukipendekeza Kiswahili kitumike kama lugha mojawapo katika baraza kuu la umoja wa mataifa Sifa zote hizi za Kiswahili zinarudishwa nyumba na sisi wenyewe,kwani wartu wengi sana,hasa waliosoma hupenda kuchanganya lugha ya kingereza na Kiswahili.kasumba hii itakifanya Kiswahili kiharibike kwa kuingiza  maneno yasiyo ya lazima.lugha yoyote  huazima maneno kutoka lugha nyingine  lakini kuazima huko kuwe na maana ya kuendeleza lugha hiyo na siyo kuiharibu. MASWALI (i) Kiswahili kinazidi   kupata umaarufu duniani  kwa sababu :            A.        Ni lugha ya Taifa Tanzania na Kenya            B .        Ni lugha ya Afrika             C.        Kinazungumzwa na watu wengi                                                              [           ]            D.        Kina tumika katika  idhaa ya kiswahili            E.         Kinatumika kwenye Umoja wa mataifa               (ii)  Kutokana na habari hii,Kiswahili kimesambaa zaidi katika A.                 Bara  la UlayaB.                 Afrika MasharikaC.                 Bara la Afrika                                                                                       [           ]D.                 Ulaya ,Asia na marekaniE.                  Vyuo vikuu dunia(iii) Watu wengi hurudisha nyuma Kiswahili kwaniA.                 Hukitumia kiswahili ovyo ovyo tuB.                 Hupenda kiingereza zaidi                                                                       [           ]C.                 Huchanganya maneno ya lugha za kigeni na KiswahiliD.                 Huwa na kasumba tuE.                  Huchanganya kiingereza na Kiswahili(iv) Kiswahili kinazungumzwa Marekani  kutokana na A.                 Kufundishwa na vipindi vya redioB.                 Kutumika  kwenye Umoja wa mataifaC.                 Kuna wasomi wengiD.                 Kuwa na watanzania wengiE.                  Matumizi ya Kiswahili.(v) Kichwa cha  habari  hii  kingekuwa:             A.        Lugha  ya taifa             B.         Ukuaji wa Kiswahili             C.         Umaarufu  wa Kiswahili duniani             D.        Kiswahili lugha ya  taifa              E.         Matumizi  ya Kiswahili                                                                SEHEMU  B: SARUFI 2.      Ainisha  maneno yaliyopigiwa mstari katika  sentensi  zifuatazo:a)      Mgeni anaelekea kwa shangazi.b)      Nilijua  hawa ni mwanafunzi hodaric)      Kusikia  si kuona.d)      Salale!  Amekuja tena.e)      Ambao ni washiriki  waingie.                                              
  1. Bainisha  vielezi  vyote katika  sentensi  zifuatazo:
a)      Mbuzi amekula mara  tatu.b)      Wageni  walikuja polepole.c)      Wanafunzi  wanacheza darasani.d)      Amevaa  kihuni.e)      Mariamu anaimba  vizuri. 
  1. Bainisha  aina  zote za maneno:
a)      Bahati  alikuwa  amejeruhiwa vibaya  mnob)      Majani  marefu  yameota.c)       Juma anatembea  kimyakimya.d)      Wewe  ulikula  chakula  chetu.e)      Mwalimu  wetu  huyu anaimba vizuri. SEHEMU C : FASIHI    5.   Malizia methali zifuatazo:            a. Mpofuka ukongweni……………………………………….            b. Baniani mbaya ………………………………………………            c. Mchimba kaburi …………………………………………….            d. Avuaye……………………………………………………………..    6. Toa maana ya nahau zifuatazo            a. Amekula chumvi nyingi…………………………………….            b. Amevaa miwani ……………………………………………            c. Amepata jiko ……………………………………………….7. Eleza maana ya maneno yafuatayo            a. Kamusi…………………………………………………………………..            b.  kidahizo…………………………………………………………………            c.Kitomeo …………………………………………………………………            d. Tahajia………………………………………………………………….8. Andika tanzu tano za sanaa            a……………………………………b…………………………….c…………………………            d…………………………………….e…………………………….“HAKIKA NDEGE  ASIYERUKA HALIJUI BONDE LILIMWALO MTAMA”   KALOLENI SHULE YA SEKIONDARI NA UFUNDIMTIHANI WA KISWAHILI – LIKIZO FUPI KIDACHO CHA II1  MWEZI MARCH MAELEKEZO 
  1. MTIHANI HUU UNA SEHEMU A,B,C,D,NA E
  2. ZINGATIA MAAGIZO YA KILA SWALI NA KILA SEHEMU
  3. VIKOKOTOZI HAZIRUHUSIWI  NDANI YA CHUMBA CHA MTIHANI
  4. JIBU MASWALI YOTE KUTOKA KILA SEHAMU
 MASWALI 
  1. (i) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyo tumika katika shairi
(a)    Si ruwaza nje ma mtu kumpa /kupewa…………………………………….(b)   Haiba huongezeka…………………………………………………………..(c)    Andika kichwa cha habari cha shairi hili……………………………………..(d)   Mwandishhi amezungumzia Ua kama…………………………………………..(e)    Mwandishi anamaana gain anaposema kuwa Ua likiwa mtini huwa linanawirika?..........................(f)     Siyo zawadi Azizi……………………………………….(g)    Ua tuzo ya mahaba……………………………………………..(h)    Mwandishi anamaana gain anaposema Ua ni ishara ya Usuhuba?(i)      Mwandishi analenga watu gani anaposema kuwa makahaba nao hijipachika(j)     Ua huwa na thamani wakati gain? 
  1. Sentensi zifuatazo zina makosa kisarufi onesha kosa la kisarufi kasha andika sentensi hiyo kwa
Usahihi.                                 i.            Mariam weak saini yako hapa                               ii.            Mtoto amedondoka                              iii.            Maiti atazikwa mbulu                             iv.            Wilson ameondoka kazini                               v.            Suzani amerudi kwa shule                             vi.            Kinyonga  kinabadilika rangi SEHEMU B: SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA 
  1. Ainisha aina za maneno yaliyopigiwa mstari
a)      Juma ndiye msomaji mzurib)      Kucheza tunakupenda lakini tunapoteza mudac)      Chumbani kumepambikad)      Watoto wangapi wapo chumbani?
  1. uchanganuzi wa sentensi hufanywa  hatua kwa hatu
  1. taja hatua za uchanganuzi wa sentensi
  2. Changanua sentensi zifuatazo kwa njia ya matawi
i.                     Alikuwa anaogelea kama bataii.                   Mtoto haji leo nyumbani
  1. Panga nomino zifuatazo katika. (ngeli) zake kisha andika sentensi za ka umoja na wingi kwa kutumia ngeli hizo
Kiti ,sisimizi,sumali,uasi,ufa   SEHEMU C: UANDISHI 
  1. Taja mambo makuu matano ya kuzingatia wa kati wa kuandika barua ya kirafiki ( kwa kila jambo litolee maelezo kidogo)
  SEHEMU D:  MAENDELEO YA KISWAHILI 
  1. a. Eleza / toa ushaidi unaodhibitisha kuwa Kiswahili ni “KIBANTU”
                     i.            …………………………………                   ii.            …………………………………….                  iii.            ………………………………………                 iv.            ………………………………………… “TULIA “ “HAKIKA NDEGE  ASIYERUKA HALIJUI BONDE LILIMWALO MTAMA” 

LIKIZO NJMEA

ASEMA MWL FREDY BM

                                KALOLENI SHULE YA SEKIONDARI NA UFUNDIMTIHANI WA KISWAHILI – LIKIZO FUPI KIDACHO CHA 1I  MWEZI MARCH JINA …………………………………………………………………………….. 
  1. MTIHANI HUU UNA SEHEMU A,B,C,D,NA E
  2. JIBU MASWALI YOTE
  3. FUATA MAAGIZO YA KILA SWALI NA KILA SEHEMU
  4. SIMU ZA MKONONI HAZIRUHUSIWI KATIKA CHUMBA CHA MTIHANI
  5. MAJIBU YOTE YAANDIKWE KWA WINO WA BLUU AU NYEUSI
 SEHEMU A. UFAHAMU1.         Soma shairi lifuatalo kasha ujibu maswali            Fedha nataka isifuKwa sifaza mbalimbaliFedha kitu maarufuHumtuliza dhaliliLolote akasarifuVungine usikubali Nitawasifia fedhaKwa sifa za ukamili Fedha huzitibu adhaZinasumbua mwiliNa wengine kadha ,kadhaLasema shairi hili Fedha imevunja mguuMilima ikatambaaFedha ni kitu kikuuAliye nayo shujaaHutiiwa na wa juuWachini wakaridhika MASWALI 
  1. Andika kichwa cha habari cha shairi hili
  2. Mwandishi ana maana gain anaposema kuwa fedha huzitibu adha?
  3. Nini maana ya fedha imevunja miguu milima ikatambaa?
  4. Fedha ni kitu kikuu aliyenayo…………………………………
  5. Fedha humtuliza……………………………………………..
  6. Andika  umoja  wa neon FEDHA……………………………………….
  7. Fedha imesifiwa na mshairi kwa sifa za ………………….
  8. Taja sifa za fedha kutokana na shairi
                     i.            ……………………………………                   ii.            …………………………………..                  iii.            ……………………………………… 2.         SEHEMU YA B : UTUMIZI WA LUGHA NA USHAIRI WA MAANDISHI 
  1. Andika sentensi zifuatazo kwa usahili
    1. Msichana mwenye nzuri tabia ni wakuoa
    2. Kifaranga kinapekuwa bila kufundishwa
    3. Siku hizi bidhaa ni agali
    4. Kiti mkubwa kimevunjika
    5. Chai imeingia inzi
    6. Mtoto angepelekwa hospital angelipona
 SEHEMU C: SARUFI 3.                    i. Eleza maana ya a)      Chagizo……………………………………….b)      Shamirisho………………………………………………….c)      Prediketa…………………………………….d)      Kirai ………………………………………………..e)      Kishazi ……………………………………………………… ii. Uchanganuzi wa sentensi hufanywa hatua kwa hatua  3.b.     Andika hatua za uchanganuzi wa sentensi 4.         SEHEMU D: FASIHI SIMULIZI 
  1. Andika dhima ya fasihi kwa ujmla
    1. ……………………
    2. …………………….
    3. ……………………
    4. …………………..
    5. ………………………
 5.         SEHEMU E: UANDISHI /UTUNGAJI            Andika hatua tano za  za uandihsi wa insha na kwa kila hatua itolee maelezo kidogo                                 i.            …………………………                               ii.            …………………….                              iii.            ………………………                             iv.            ……………………….                               v.            ……………………………“TULIA “ “HAKIKA NDEGE  ASIYERUKA HALIJUI BONDE LILIMWALO MTAMA” 

LIKIZO NJMEA

ASEMA MWL FREDY BM