TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI 2010/2011

HOME USAJILI DARASA VII-2012=NECTA MATOKEO YA MTIHANI WAKUMALIZA ELIMU YA MSINGI TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI 2010/2011 MATOKEO YA MITIHANI MUHULA WA PILI-2011 KUMBUKUMBU ZA UONGOZI SAFU YA UONGOZI MASWALI YA JIOGRAFIA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI KALENDA YA SHULE RATIBA YA SHULE IDADI YA WANAFUNZI MALI ZA SHULE PICHA ZA SHULE WANAFUNZI WASIO NA SARE MAWASILIANO PICHA ZA SHULE MTIHANI WA ENGISH-STD III MTIHANI FORM TWO NYARAKA ZA ELIMU Photo Blog MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK - KATA YA ILOLANGULU.MARCH-2013



 
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.Halmashauri ya Wilaya ya Uyui.Shule ya Msingi Ulimakafu.P .Box 1028 Tabora.Tovuti :www.ulimakafuschool.20m.comTaarifa ya mapato na matumizi January 2011 hadi December 2011  Imeandaliwa na:- Kaimu M/Mkuu Paul Meela.                                                                                                                                                                                                                              CELL:      0786986128
          A.RUZUKU YA SERIKALINI (CAPITATION GRANT)2011Ruzuku ya serikalini kwa mwaka huu imeingia mara mbili tu mpaka sasa.Na matumizi yake yalikuwa kama ifuatavyo:-
                  MAPATO                       MATUMIZI
TAREHES/NCHANZOKIASI (Tsh)TAREHES/NVIFAAKIASIMAELEZO
23.02.20111SalioTsh10,585.56     
23.02.20112CapitationTsh 53,752.86 1.         Chaki box 15@150022,500 
 2.         Flip chart I pics6,000 
 3.         Marker pen ½ dazeni3,000 
 4.         Correct fluid chupa 11,500 
 5.         Daftari kubwa 1 dazeni3,600 
 6.         Manila 5pcs@5002,500 
 7.         Nauli 15,000 
Jumla   53,752.86   54,100 
22.09.20111Salio10,238.42     
 2Capitation134,199.00 1Chaki box 11@150016,500 
 2Karatasi nyeupe box 2@500010,000 
 3Counter book 15,000 
 4Maker pen½ dazeni3,000 
 5Correct fluid chupa 2@15003,000 
 6Carbon paper 1pcs 3,500 
 7Stemple pin box 2@5001,000 
 8Drown pin box 2@7001,400 
 9Attendance 12@100012,000 
 10Maandalio 7@150010,500 
 11nauli20,000 
 12UMITASHUMTA37,000 
Jumla   134,199.00   132,000 
Jumla kwa mwaka1Ingia 187951.86 1Tumika 186100.00 
  Salio sasa11,527.42     
       B.MAPATO YA NDANIMalipo ya mpishiMalipo ya  mpishi yanatolewa kwa  mfumo wa kila mwanafunzi kukuchangia Tsh 200/=.1.IDADI YA WANAFUNZI WALIOCHANGIA
TAREHE IDADA YA WANAFUNZIMWEZI 9MWEZI 10MWEZI11MWEZI 12KIASI
 DARASA      
 CHEK664--Tsh 2000
 I544030--Tsh 14000
 II47352041Tsh  12000
 III4030222-Tsh 10800
 IV      
 V      
 VI322019  Tsh 7800
JUMLA    -- 
 2.IDADI YA WANAFUNZI WASIO CHANGIA
TAREHE IDADA YA WANAFUNZIMWEZI 9MWEZI 10MWEZI11MWEZI 12KIASI
 DARASA -2--Tsh 400
 CHEK6    Tsh 800
 I541424--Tsh 7600
 II471227--Tsh
 III401018--Tsh 5600
 IV      
 V      
 VI321213--Tsh 5000
JUMLA       
Wanafunzi wasio changia tuliamua majina haya tuyapeleke ofisi ya  mtendaji  ili wawajibiswe ,hii ni baada ya kuhojiana nao.C.UGENI WA MKUU WA WILAYA
                                        MAPATO                                                             MATUMIZI
TEREHECHANZOKIASITAREHES/NUTUMIAJIKIASI(Tsh)MAELEZO
15.11.2011DIWANI+DCTsh 80,000/=  Manunuzi ya karanga kg 13@Tsh 3000/=Tsh 39,000/= 
     Mfuko  wa karangaTsh 500/= 
     Mpishi mwezi 11Tsh 20,000/=Amelipwa.
     Mpishi mwezi 12Tsh 20,000/= 
Jumla Tsh 500/=   Tsh 79500/= 
        
N.B Kuna ahadi ya mshahara wa mwezi mmoja toka kwa katibu wa Mbunge.Fedha iliyobaki Tsh 500/=      D.KILIMO 2010/2011Malengo ya kilimo ni kuvuna gunia 75 za mahindi.Karanga gunia  10.Lakini tuliweza kupata kama ifuatavyo:-
                        MAPATO              MATUMIZI
 HEKARIGUNIATAREHEUTUMIAJIGUNIAMAELEZO
MAHINDI36 Chakula cha wanafunzi1 
    Gharama a kusaga1Mchanganuo wake upo E.
    Chakula cha wanafunzi1.5 
KARANGA1Debe na maganda 2=kg422.5.2011  20.4.2011Michezo Mabama kiungo cha chakula.Michezo Msiriembe kiungo  cha chakula.Kg 2   Kg 2 
N.B Tumebakiwa na gunia mbili na nusu(2.5) Ziko stoo. E.MATUMIZI YA GHARAMA ZA KUSAGA
                MAPATO             MATUMIZI
TAREHECHANZOKIASITAREHEMAELEZOKIASIMaelezo
 KUUZWA GUNIA 1Tsh 42,000/= Kusaga gunia mojaTsh 3,000/= 
    Usafirishaji(mabama)Tsh 2,000/= 
 Kusaga gunia moja na nusuTsh 4,500 
 usafirishaji(mabama)  Motisha kwa wanafunzi. Chakula cha msimamizi darasa la IV BMT.Kupigisha ngomaTsh 3,000/= Tsh 11700/= Tsh 13,800/=  Tsh 4,000/= 
Jumla     Tsh 42,000.00 
 Changamoto zilizotukabili ni:-1.        Hali ya hewa ya  msimu uliopia kwani mvua zilikuwa zinanyesha kidogo.2.        Mahudhurio hafifu wa wanafunzi wakati wa kupanda kwani walifika wanafunzi 14 na walitakiwa wapande hekari tatu.3.        Kusumbuliwa na ndege aina ya kware na wadudu hulambegu hasa sehemu zilizopakana na msitu.4.        Utaratibu wa upandaji wa mbegu ulikuwa mgumu sana kiasi cha wanafunzi kushindwa kupanda kwa ufanisi.(mbolea halafu mbegu       F  .KILIMO 2011/20121.        Mwaka huu  tumelima hekari 4 za mahindi.2.        Mwaka huu tumelima hekari moja ya karanga.3.        Mwaka huu tumelima maharage nusu hekari.Malengo ya kilimo 2011/20121.        Kuvuna chakula cha wanafunzi kwa mwaka mzima.2.        Malengo yetu ni kuvuna gunia 100 za mahindi.3.        Na gunia 10 za karanga.4.        Gunia 3 za maharage G.  TAALUMAShule hii ilishika nafasi ya pili  kiwilaya mtihani wa kuhitimu darasa la saba 2010,Shule hii ilishika nafasi ya tano  kiwilaya mtihani wa taifa darasa la nne 2010,H.  ELIMU YA KUJITEGEMEA (E.K)Katika mfuko huu hakuna fedha tulizo zalisha wala kuingia kipengele hiki hakina matumizi kwa mwaka huu 2011.I.CHAKULAChakula kilichoingia hapa shuleni kutoka millennium kwa mwaka huu2011 ni kama ifuatavyo:-
TAREHEUNGA WA MAHINDIMAHARAGEDAGAAMAFUTAMCHELESUKARINYANYAVITUNGUUCHUMVI
12.9.2011Kg 200Kg 50Kg 50Lita 10Kg 75Kg 6-Kg 6Kg 6
05.10.2011Kg 186Kg 100Kg 66Lita 10 --Kg 6Kg 6
09.11.2011Kg 289Kg 125-Lita 20--Fedha 38,000/=Kg 10Kg 6
17.11.211Kg 190Kg 116-------
JumlaKg 855Kg 391Kg 116Kg 40Kg 75Kg 6Tsh 38,000Kg 22Kg 18
          
          
 Kwa siku wanafunzi wanatumia Kg  20 za  Unga,Kg 13 za Maharage.mafuta ½ lita,chumvi ½ kg,Sukari kg 6,nyaya kg 5,Vitunguu ½kg,Chumvi ½ kg,Mchele kg 70. Chakula kilichobaki  ni kama ifuatavyo:- .  
TAREHEUNGA WA MAHINDIMAHARAGEDAGAAMAFUTAMCHELESUKARINYANYAVITUNGUUCHUMVI
1.12.011Kg 150Kg 64-Lita 6--Tsh  22000Kg 10Kg 4
          

Taarifa hii imeandaliwa na mwalimu Mkuu Paul Meela

  

………………………………………………………….