Would you like to make this site your homepage? It's fast and easy...
Yes, Please make this my home page!
JIOGRAFIA I-VII MASWALI
P Meela home library WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDIMASWALI YA JOGRAFIA DARASA LA TATU HADI LA SABA MASWALI YA JIOGRAFIA1. Eleza maana ya mazingira………………………………………………………………………………………………………..2. Taja mambo manne yanayounda sura ya nchi.A. ……………………………B. ……………………………………C. …………………………………………D. ……………………………………………..3. Madini gani hutumika kukatia vioo?..........................................................4. Mlima Kilimanjaro ni aina ya ………………………………….5. Afrika ya Mashariki ya sasa inaundwa na nchi ngapi………………6. Shirika la mpango wa chakula duniani linaitwa…………………………7. Shirika la chakula duniani linaitwa………………….8. Mchoro mkato ni nini………………………………………………………………………………………………9. Taja nchi tatu zinazounda afrika mashariki ya kaleA. ………………………………………B. ………………………………………C. ……………………………………….10. Taja mito minne inayomwaga maji yake bahari ya hindi.A. ………………………………..B. ………………………………..C. …………………………………..11. Mto unaoishia ziwa Victoria ni……………………………..12. Mto unaoishia ziwa Tanganyika ni ………………………………13. Taja milima mitatu iliyoko kaskazini mwa Tanzania.A. ……………………………………B. ……………………………………C. ……………………………………14. Taja maziwa manne yaliyoko mpakani mwa Tanzania.A. ………………………………..B. ……………………………….C. …………………………………D. ………………………………….15. Taja vitu vine ambavyo viko katika angaA. ……………………………………..B. …………………………………….C. ………………………………….D. …………………………………….16. Taja mambo manne yanayofanya jua liwemuhimu.A. ………………………………………………………………….B. ……………………………………………………………………C. ………………………………………………………………………….D. ………………………………………………………………………17. ………………………huendeleza chemchemu na mito.18. …………………..hupunguza makali ya mionzi ya jua19. Afrika Mashariki kwa upande wa kusini imepakana …………………..20. Taja aina tatu za milima.A. …………………………………………..B. …………………………………………..C. …………………………………………..21. Taja ziwa lililopitiwa na Bonde la Ufa kwa upande wa magharibi………………………22. Bonde la Ufa lina urefu wa kilometa……………………………23. Bonde la ufa katika Afrika Mashariki lina sehemu ……………………………..24. ………………………..hutuongoza katika kusoma ramani.25. ………………………… ni umbo la kitu lililopigwa chapa au kuchorwa26. Kupata dawa za asili ni faida mojawapo ya ……………………………27. Taja maziwa yaliyopitiwa na bonde la ufa la Afrika MagharibiA. ……………………………………..B. ……………………………………….C. ………………………………………..28. Mlima mrefu kulikoyote duniani ni………………………….29. Mlima mrefu kuliko yote hapa Afrika ni…………………………….30. Kuna aina ngapi za mzunguko wa dunia…………Zitaje?A. ……………………………….....................................B. ……………………………………………………………………..31. Sayari ndogo kuliko zote ni……………………….32. Sayari kubwa kuliko zote ni…………………….33. Dunia iko umbali wa kilometa………………………….kutoka kwenye jua34. Taja athari tano za ukameA. ………………………………………………………………………………B. ………………………………………………………………………………..C. ………………………………………………………………………………D. ………………………………………………………………………………….E. ……………………………………………………………………………………35. Dunia hulizunguka jua kwa siku……………………………….36. Tarehe 21 machi jua huwa la utosi kenye tropiki ya ………….……………37. Nchi inayoongoza kwa kilimo cha pamba Afrika ni……………………….38. Kuna tofauti ya masaa mangapi kila 150 za longitudo………………39. Dunnia ina bahari kuu ………….Zitaje?A. …………………………………………………..B. ………………………………………………….C. ……………………………………………………D. ……………………………………………………..E. ……………………………………………………..40. Kisiwa cha siri-lanka kiko katika bahari ya………………………..41. Taja mabara saba ya duniaA. ………………………………………B. ……………………………………………C. ………………………………………….D. ………………………………………..E. ……………………………………….F. ………………………………………..G. ………………………………………..42. Matunda mengi hustawi zaidi katika maeneo yenye tabia ya………………………43. Ziwa lenye kina kirefu zaidi duniani ni ……………………………..44. Ziwa Tanganyika hupatikana samaki aina ya ……………………………………45. Chanzocha mto naili ni ziwa…………………………..46. Jua ni moja ya ……………………..zilizoko angani47. Taja ziwa Tanzania ambalo halijapitiwa na bonde la ufa……………………….48. Mlima evarest uko katika bara la …………………………….49. Sehemu ya nchi kavu ilioko katikati ya bahari na imezungukwa na maji pande zote ni……………………………………50. Kugawanyika kwa pangea ni matokeo ya………………………51. Mto mrefu kuliko yote barani Afrika ni……………………………52. Ziwa lililoko kaskazini mwa Kenya ni…………………………..53. Shirika la wakimbizi Duniani linaitwa……………………….54. Kuna zaidi ya aina ……………………..za samaki duniani.55. Eleza namna bonde laufalinavyotokea……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..56. Maji hupungua katika mito,bahari na bwawa wakati wa ……………………………..57. Ujerumani ni moja ya nchi inayotengeneza chuma cha ………………………………..58. Samaki wa maji chumvi huvunwa zaidi…………………………59. Kuna aina mbili kuu za uotoA. …………………………………….B. ……………………………………….60. Reli ya TAZARA huanzia dar-es-salam hadi…………………………………Zambia.61. Makao makuu ya Tanzania yako…………………………62. Jua huchomoza upande wa………………………………….63. Ikiwa ni saa 2 asubuhikatika mji wa Accra(00)je?itakuwa saa ngapi mji wa Antananarivo(450)mashariki mwa grinwich………………………………………………………..64. Maporomoko ya Owen yako nchi ya ………………………………65. Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki ni maarufu kwa misitu ya…………………….66. Kupatwa kwamwezi hutokea wakati ……………………………………………………………………………………………………….67. Makao makuu ya AU ni………………………..68. Gezira ni maarufu kwa kilimo cha…………………69. Taja aina mbili za buniA. …………………………………………..B. …………………………………………70. Nchi maarufu kwa kilimo cha Kakao duniani ni………………………71. Kuna aina mbili za viwanda nazo ni……………………….72. Nchini Tanzania madini ya chumvi hupatikana mkoa wa………………………….73. Shirika la kimataifa linaloshughulikia elimu na sayansi ni………………………….74. Katibu mkuu wa umoja wa mataifa anaitwa……………………………………75. Nchi ina yoongoza kwa kuwa watu wengi duniani ni …………………………………….76. Chanzo cha mvua ni……………………unapopaa angani.77. Taja aina kuu nne za uoto unaopatikana hapa Tanzania.78. Uoto wa maeneo kame huonekana sehemu za ……………………na…………………………….79. Uoto ni nini?80. Uoto ulioenea zaidi nyanda za juu ni…………………………81. Kuna aina mbili za mazao yanayolimwa hapa anzania.82. Andika mazao mawili ya chakula yanayolimw katika mikoa ya Kilimanjaro,kagera na mbeya.83. Viiwa vya unguja na pemba ni maarufu kw kilimo cha………………………………..84. Kuna ainambili za ufugaji happa Tanzania nazo ni…………………..na……………………………85. Mashamba maalumu ya malisho yawanyama yanaitwa………………………….86. Taja faida tatu za kufuga ng’ombe.87. Taja faida tatu za ufugaji wa kisasa…………88. Taja madini sita unayoyafahamu …89. Madini yafuatayo yanapatikana katika mikoa gani. A. TanzaniteB. BatiC. DhahabuD. FosfetiE. Almasi 90. Taja faida tatu za uvuvi…………………..91. Taja mito mitatu ambayo shughuli za uvuvi hufanika92. Uvuvi wa asili ni kama madema ,uzi na…………………………93. Mahali malighafi hutumika kutengenezea bidhaa huitwa …………………………………94. Mikoa yenye viwanda vva kusindika chai hapa Tanzania viko katika mikoa ya……………….95. Mikoa yenye viwanda vya sarujini….96. Mikoa yenye viwandavya kusindika chakula ni…………………………….97. Mkoa wenye kiwanda cha kutengeneza matarini…98. Jeviwanda huaribu mazingira?ndio au hapana na kwa nini?99. Eleza maana yabiashara ya ndani100. Eleza maana ya biashara ya nje101. Tendo la kutembelea mahali kwa ajili ya kuona vitu mbalimbali na kujifurahisha huitwa…………………102. Taja hifadhi nne za taifa unazozifahamu103. Faida kubwa ya utalii hapa Tanzania ni104. Ngorongoro nikivutio cha watalii kipo katika mkoa wa ……………………..105. ……………………….nikivtio cha watalii katika pwani ya bahari na zanzibari106. Njia zakupashana habari zimegawanyika katika makundi matatu107. Kuna njia tatu za usafirishaji nazo ni108. Eleza maana ya mawsiliano109. Andika madhara matatu yatokanayo na uchukuzi110. Katika kituo cha hali ya hewa kuna kisanduku kinchoitwa…………………..111. Stevenson sreen huwa kinapakwa rangi ya……………112. Kifaa kinachopima jotoridi ni……………………………113. Kifaa kinachopima mvua ni……………………..114. Kifaa kinachopima unyevu katika anga ni………………………..115. Kifaa kinachopima upepo ni…………………………..116. Taja majiramanne yamwaka unayo yafahamu117. Mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza kuleta madhara gani..118. Ramani ni nini?119. Taja mambo matano yakuzingatia katika uhoraji wa ramani……………………..120. Katika ramani dira huonyesha upande wa ………………121. Kipimioo cha ramani ni………………………….122. ………………….ni dhoruba yaupepo mkali unaoambatana na mvua kali.123. …………………………….. ni jumla ya mimea katika eneo Fulani124. Vitu vyote vinavyo mzunguka binadamu katika madhingira yake ni………………125. Umbo la kitulililopigwa chapa au kuchorwa huitwa………….126. Uwiano uliopo kati ya kipimo ca kitu halisi na vipimo vya ramani ya ktu hcho ni………………….127. Jua huchomza upande wa………………….128. Madini ya ………………….hupatikana mwadui shinyanga.129. Msukumo wa hewahupimwa kwa kipimo gani?130. Mistari ya kontua inapokaribiana sana huonyesha……………………131. Mstari unaoigawa dunia kizio cha kusini na kaskszini huitwa……………………….132. Zao ambalo hutumika kama sumu ya wadudu ni…………………………….133. Taja pande kuu nne za dunia………………..134. Dunia hulizunguka jua kwa muda wa sik…………………………135. Mstari wa tarehe huitwa………………………..136. Eleza maana ya mistari ya kontua…………………137. Eleza maana ya ramani ya kontua……………..138. Eleza tabia tatu za mistri ya kontuaa………………………………..139. Mistari ya kontua katika uwanda wa tambarare huwa…………………..140. Muonekano wa umbo kutoka juu huitwa……………………..141. Mto tana uko katika nchi ya ……………………………….142. Tanzania ina jumla ya mikoa……………………………………….143. Uwanda wa juu una sehemu kuu mbili nazo ni……………………………144. Nini maana ya bonde la ufa……………………………….145. Kuna aina ngapi za volcano…………………………146. Aina kuu za pepo zinazoathiri hali ya hewa yaafrika mashariki ni ……………..na………………………………147. Jua linapokuwa lautosi kaskazini mwa dunia upepo huvuma kutoka……….na kuelekea……………………….148. Jua linapokuwa la utosi kusini mwa dunia eneo hilo huwa na …………………149. Taja aina mbili za misitu……………….150. Maeneeo yanayo faa wa ufugaji yanatakiwa yawe na uoto wa………………..151. Taja makabila matatu yanayijihusisha na ufugaji……………………..152. Ufugaji wa kisasa huzingatia…………………………..153. Taja aina mbili za ufugaji………………………..154. Taja madhara matano yatokanayo na uchimbaji wa madini………………….155. Kuna aina kuu mbili za uvuvi nazo ni…………………..156. Kitendo cha kutifulia ardhi ili kupanda mazao huitwa…………………..157. Asili ya zao la buni ni nchi ya ……………………158. Taja faida za buni…………………….159. Chai hulimwa zaidi nchi ya …………………………160. Asili ya zao la chai ni ………………………..161. Taja aina mbili za ndizi………………………162. Uza Tanzania………………163. Taja matumizimawili ya ndizi…………………164. Zao la mahindi lililetwa afkika mashariki na…………………..165. Taja ranchi tat166. Sayari kubwa kuliko zote ni……………………….167. Mkusanyiko wa miti iliyoota kwa wingi ni………………………168. Bwawa la kidatu ni maarufu kwa ………………………………………….169. Usiku na mchana ni matokeya……………………….170. Taja aina kuu tatu za milima171. Badili 1:500,000 kuwa seentensi.172. Badili 1:1000,000 kuwa sentensi.173. Mwinuko,mito,maziwa,mabawa ,mabonde na bahari ni vitu vinavyo unda………………………………..174. Mfumo wa mapato na matumizi katika tarafa ,wilaya au nchi huitwa……………………………….175. Mbuga za wanyama makumbusho ya kihistoria ni vivtio kwa…………………………………….176. Wakulima wengi husafirisha bidhaa zao kwa njia ya ………………………………….177. Alama za ramani huonesha………………………………………………….178. Setilaiti mojawapo iliyoko angani ni…………………..179. Katik Tanzania binde la ufalimegawanyika sehemu mbili na zo ni……………………………..na……………………………………….180. Taja faida tano zitokanazo na watalii……………………………………………..181. Taja njia tatu za usafiri……………………………182. Taja madhara matatu yatokanayo na viwanda…………………………183. Chora alama zinazowasilisha vitu vifuatavyokatika ramani:-Reli,Barabara,mipaka ya nchi,Daraja,Nguzo za umeme,Kiwanja cha ndege ,Kilele cha mlima,Mlima ,Kisima na Mto.184. Taja vifaa vitano vyakuchorea ramani.185. Picha ni umbo la kitu lililopigwa chapa au………………………………….186. Taja aina tano za nishati……………………..187. Toa vidhibitisho vine kuwa dunia kiko kama tufe…………………188. Taja mambo yanayosababisha ukame189. Taja sehemu ambazo ramani inaweza kuchorwa………………………190. Jua linapochomoza asubuhi kivuli huwa upande wa…………………..191. Mazingira yanahitajika kutuzwa ili………………………192. Rangi ya bluu katika ramani huonyesha sehemu za ……………………………193. Kuna aina kuu ngapi za uoto……………………..194. Pweza , change,tasi na kolekole ni samaki wa maji…………………….195. Milima ya Kenya ,meru,elgon na Kilimanjaro nia aina ya milima ya ………………………….196. Mistari inayochorwa kwenye ramani kuonyesha mwinuko sawa kutoka usawa wa baharini……………………………….197. Taja sehemu ambayo ni maarufu kwa kilimo cha pamba nchini Uganda……………………….198. Mja ya tatizo linaloletwa na uchimbaji wa madini ni………………….199. Joto hupungua nyuzi…………………..kila unapopanda meta 100.200. Umbo la v au u katika mistari ya kontua huonyesha………………………..201. Sura ya nchi inayoonekana katika vilele viwili au mlima inaitwa……………………………
Hakizote zimehifadhiwa karibu ULIMAKAFU SHULE YA MSINGI.